Tikvah's Podcast
The podcast seeks to inspire, educate, and connect Christians in navigating Christian living, family dynamics, faith-building, and impactful engagement with the world.
Tikvah's Podcast
Latest Episodes
On-Stage Dopamine: Maisha Baada ya Applause
DESCRIPTIONNi nini kinatokea baada ya lights kuzimwa, microphone kuwekwa chini, na crowd kuondoka?Katika kipindi hiki cha Tikvah Podcast, tunazungumzia upande ambao mara nyingi hauonekani wa public praise—pressure ya ku-maintain i...
AI, Ibada na Kanisa: A Conversation with Pastor Delphinus Rwegasira
Katika episode hii ya Tikvah Podcast, tunakaa na Pastor Del kuzungumza kuhusu Artificial Intelligence na nafasi yake ndani ya Kanisa.Je, AI inaweza kutumika kama tool kwenye worship, teaching, na Christian content creation? Au Kanisa lin...
AI na Ubunifu wa Injili | Je, AI Inaua Creativity au Inaiinua? | Ft. Innocent Mwagilo
Katika sehemu ya kwanza ya mfululizo wetu kuhusu AI na Ubunifu wa Injili, tunazungumza na Innocent Mwagilo — Music Producer, Songwriter na Sound Engineer.Katika mazungumzo haya tunachunguza namna Artificial Intelligence (AI...