Tikvah's Podcast
The podcast seeks to inspire, educate, and connect Christians in navigating Christian living, family dynamics, faith-building, and impactful engagement with the world.
Episodes
4 episodes
Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 3
Katika Episode hii nimefanya mazungmzo na kaka yangu na mwalimu wangu Faith Joel Shimba Kuhusu namna kanisa limejikuta likibobea katika shughuli za kiroho na kusaua kuhusu Mungu
Uchambuzi wa Nyimbo-Kitabu by Paul Clement
Tumejadili kuhusu live record ya wimbo wa Paul Clement Kitabu(Ajabu) wimbo unapatikana kwenye Youtube channel yake Paul Clement pamoja na Digital Platform zote, tumejadili kuhusu ubora wa utunzi ubora na ubora wa videoKaribu kusikiliza
Imani Kwa Mungu Au Imani Kwa Mbinu?-Episode 2
Katika episode hii tunachunguza namna ambavyo baadhi ya huduma na makanisa ya kizazi hiki yamehamisha watu kutoka kumtafuta Kristo kwenda kushikilia mbinu, ishara, na experiences za kiroho.Kutoka matumizi ya mafuta, maji, udongo, vitamba...